FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

.
Screenshot_20230907_235712_All%20Goals.jpg
 

07 September 2023
Algiers, Algeria DZ

FT ALGERIA 0-0 TANZANIE

Taifa Stars:

30. Benno K. David
02. Haji Mnoga
04. Hamad Ibrahim
05. Dickson Job
06. Bakari Mwamnyeto
11. Kibu Prosper
12. Simon Msuva - 14. John Raphael Bocco
17. Sospeter Bajana
19. Mzamiru Yassin
21. Clement Mzize - 09.Abdul Sopu -07.Himid Mau

25. Novatus Dismas
 
Tumefuzu!? Hatujafuzu?!
Mmmh, mzee, accurate pass 538 kwa 65?

Timu zote mbovu ila Algeria wamezidi ubovu;
  • Possession 80.5
  • Pass accuracy 538 dhidi ya 65 za mpinzani

Ajabu ni kuwa, wote wana 1 on target, Algeria akiwa kapiga mara 12 jumla
 
Mkuu watu tulishajikatia tamaa na Taifa stars hata wewe unafahamu,hiyo ni suprise leo Hakuna aliyejua na wala siyo unafki
Sasa ndio ulitakiwa uwe na imani wachezaji wetu ndio hawa hawa huwezi kuwafananisha na Algeria .

Hawa hawa wametuheshimisha
 
tukiongeza umakini kidogo tunaenda na kombe la dunia, kwa dhati niwashukuru azam tv kwakuvutia wadhamini kwenye ligi yetu mmetupeleka mjini, nikikumbuka zamani naangalia game tibisi mpira unaonekana kama taa za boda boda ila nyie kua uyaone.
 
Wajinga sana Niger walipanga kutukomoa.

Kwasababu wao walikuwa hawana namna wanaweza kupita walisema watamuachia Uganda awafunge ili sisi tusipite.

Kisa ni wale madogo waliokuwa wanarusha mipira.

Sasa waliokuwa wanarusha mipira sio waliokuwa wanacheza, wao walikuwa wanataka kutukomoa sisi was that fair?

Huko waliko watajiona wajinga tu
 
Back
Top Bottom