Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Jibu swali, Watanzania tunaojitambuwa wote tumefurahi, wewe ulitaka Mzinze aliye? au kina Mkude ambao hawa kucheza wanune?Kwa kipi alichofanya
Acha upumbavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali, Watanzania tunaojitambuwa wote tumefurahi, wewe ulitaka Mzinze aliye? au kina Mkude ambao hawa kucheza wanune?Kwa kipi alichofanya
Mkuu watu tulishajikatia tamaa na Taifa stars hata wewe unafahamu,hiyo ni suprise leo Hakuna aliyejua na wala siyo unafkiUlisema tunafungwa acha visingizio mnafki wewe
Najua unaumia na unaogopa kumkosoa kisa ni wa Yanga ila hakuna alichokifanya kwa muda aliopewaJibu swali, Watanzania tunaojitambuwa wote tumefurahi, wewe ulitaka Mzinze aliye? au kina Mkude ambao hawa kucheza wanune?
Acha upumbavu.
Mmmh, mzee, accurate pass 538 kwa 65?Tumefuzu!? Hatujafuzu?!
Sasa ndio ulitakiwa uwe na imani wachezaji wetu ndio hawa hawa huwezi kuwafananisha na Algeria .Mkuu watu tulishajikatia tamaa na Taifa stars hata wewe unafahamu,hiyo ni suprise leo Hakuna aliyejua na wala siyo unafki
Ipi?? Kibu leo alikuwa beki auMzamiru na Kibu D wamefanya kazi kubwa sana
Mambo iko hivi
Wajinga sana Niger walipanga kutukomoa.
Wameweka historia wanastahili pongezi,kukaba waarabu dk 90 zote bila goli halafu ni world class players siyo mchezoSasa ndio ulitakiwa uwe na imani wachezaji wetu ndio hawa hawa huwezi kuwafananisha na Algeria .
Hawa hawa wametuheshimisha
Sawa"Tunaipongeza serikali ya CCM, tunampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mama Samia Suluhu Hassan...."
Atasikika mwanasiasa mmoja bungeni...