FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

Taifa stars imetutoa kimasomaso Watanzania kwa kufuzu AFCON 2023 baada ya kutoka suluhu kule Algeria. Chakushangaza ni kuwa hakuna shamrashara kama vile wengi hawajafurahi. Ni kwann jaman?? Ebu tuchangamke basi na tuandae mapokezi ya kusisimua kwa heroes wetu
 
Yani waarabu wametuwekea mpaka Mahrez... Nasi kwa hasira tutawanyang'anya wajomba zao bandari ya Tanga
Hawa nao tutakuwa nao kwenye mstari mmoja wa kupokea vichapo vikali huko hatua zijazo.

Inavyoonekana huko mbeleni tutampata tu wakufanana na sisi hatuwezi kuchekwa peke yetu.
 
Taifa Stars Yafanikiwa Kufuzu Kuingia Fainali ya Michuano ya Afcon baada Ya Kutoshana nguvu ya Bila kufungana na Timu ya Taifa la Algeria..!

Mechi ambayo ilishuhudia Taifa Stars ikibanwa kwenye eneo Lake na Kutumia nafasi kadhaa kufanya mashambulizi ya Kushtukiza..!

Na Sisi tunasema tuliwatuma Wakafuzu...Wametimiza...Kongole kwao..!
 
Back
Top Bottom