Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kama mama !Guno la heri ?!! [emoji15][emoji1787]
tabu sanaWatu washazoea majonzi kila siku na walishapoteza Imani na Timu yao,Watu walitaka Algeria apate chochote kitu[emoji1787][emoji1787]
lkn tumefuzuSema moto utawaka Ivory coast.
hahahahaaaShida watu wamebeti mihela mingi na kumpa Algeria ushindi,mikeka imechanika
daaaaahMikeka mkuu
Nenda kazini acha ujuha hahahahaKesho nasikia holiday?
Nikajua maza kasema basi kuna mtu kazusha 😁😁🤣🤣Nenda kazini acha ujuha hahahaha
Algeria vinara wa Kundi F katika kufuzu kwajili ya AFCON watawaalika Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo utakaofanyika katika dimba la Annaba huko Algeria.
Taifa Stars yenye alama 7 inahitaji ushindi au sare ya aina yoyote ili iweze kufuzu huku Algeria ikikamilisha ratiba ikiwa na alama zake 15.
Pia Taifa Stars itakuwa inaiombea mabaya Uganda (The Cranes) katika mchezo wake dhidi ya Niger. Ikumbukwe Uganda ina point 4 ikishinda kwa magoli mengi itaweka rehani nafasi ya Taifa Stars.
Mechi zote ni saa 4:00 usiku
Kila la heri Taifa Stars[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Bacca ni mtu sana anajua kukaba na ugomvi anajua vile vile huyu afandeTimu imecheza vizuri na wote wamejituma ila Kibu Denis Prosper naweza kusema kwangu alikuwa man of the match.
KUna muda nilikuwa naona kabisa waarabu wakipagawa pale wanapomiliki mpira halafu pembeni wanamuona Kibu.
Ibrahim Backa kafanya ukatili sana eneo la chini, kazima mashambulizi ambayo yalikuwa na hatari mno.
Huyu kuna press aliifanya kimahesabu it was very quickly maana mpinzani alikuwa anataka kupiga cross kuelekea kwenye box ambapo walikuwa washambuliaji wa Algeria.
Bila Backa kufanya pressing ule mpira pengine tungeongea mengine.
Kakolanya amefanya save nzuri lakini licha ya hiyo save bado alikuwa makini sana kuona mipira na kukaa eneo sahihi kwa ajili ya kuzuia hatari iwapo shuti likipigwa.
Mwisho namsifu kocha, kwanza kwasababu game approach tulifanana mtizamo. Mimi mwenyewe nilitaka tucheze kwa kujilinda na kuanza kukabia chini kwenye eneo letu huku tukiwaacha watawale mpira eneo la juu kuvuka box.
Wakati huo tunakuwa na idadi ndogo ya wachezaji eneo la mbele ambao watakuwa wanaenda kukaba mipira na kujaribu kutengeneza counter attack.
Mwisho tumefuzu na ni kitu cha kujivunia cha muhimu ni kukaza tu na kujitoa.
Hata hizo hatua za mbele uwezekano wa kufanya vizuri pia upo.
Mpira nao ni kama vita sio muda wote unaweza ukaamuliwa kwa ubora wa silaha zako, sometimes morale ina play role yake.
Hivyo hivyo na kwenye mpira, wachezaji wakijitoa kwa asilimia zote basi wanaweza kufanya makubwa kuliko timu yenye wachezaji bora.
Fundii mnoBacca ni mtu sana anajua kukaba na ugomvi anajua vile vile huyu afande
Kuwa positive
Jamaa alianzisha ugomvi huko huko kwao yaaniFundii mno
Amini jamaa anajua sana kuna kipindi aliumia nilitamani kulia kumbe mwamba huyu hapa akarudi uwanjaniJamaa alianzisha ugomvi huko huko kwao yaani