FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

Mbinu za medani za muda wa nyongeza....

Bacca anasukumwa kidogo na kujirusha [emoji1787]

Wachezaji wetu wanahamaki(zuga) na kureact dhidi ya kusukumwa BACCA [emoji1787][emoji1787]

Kocha wetu anarusha chupa za maji ndani....[emoji1787]

All and all nitashuhudia fainali za pili za AFCON ndani ya maisha yangu alhamdulillah [emoji120]
 
We jamaa unaishi Dunia yaani Azam,Startimes,DSTV Bado unaidai serikali ionyeshe mechi😀😀😀
Unaambiwa ukitaka ujue mbongo asivyolizima ananza sentensi yako na maneno haya Ila serikali yetu……. Muachie atamalizia
 
Back
Top Bottom