FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

Sikuona mechi, analysis hii imenipa radha ya mechi. Asante sana.
 
Uchambuzi mzuri
 
Makherez yuko wapi? Mahirizi yuko wapi?
 
GENTAMYCINE hebu njoo na zile nyuzi zako mob
 
Asante sana kwa Summary; mimi sikuuangalia kutokana na timing mbovu. Vipi Fei Toto naye alifanya yake?
 
Bora watolewe tu wataenda kutia aibu huko AFCON
Nimeangalia mechi zote za Taifa Stars . Timu imecheza Kwa mbinu tofauti Kila mechi hivyo hata Afcon tunaweza kutoboa, usihofu sana, wachezaji mizigo hawamo kwenye kikosi!

mechi waliyovurunda ni Ile kwa Mkapa Tanzania vs Uganda tulikuwa Bora ila wachezaji walidharau mechi wakakosa magoli mengi kipumbavu na baadae tukafungwa, kosa lile halipaswi kurudiwa maana mechi Ile ndo ilikuwa ya kukata ticket.

Mechi ya Jana Kibu Denis alikaba sana na alijituma kuliko wachezaji wote wa Taifa Stars mimi ni Utopolo ila nimempa big up sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…