Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwako ndo nyingi kwa mwingine anatamani muda uongezweKumbe Dk 10 nyingi ee.... nashangaa zimeganda.!!
Nimecheka sana!!Sijui kwanini Leo nimeangalia mpira huu.Stars huwa haina uwezo kabisDua zenu wakuu,uwezo hatuna basi hata dua?
Hata hii suluhu tu mkuuIkitokea Tanzania ikampiga Algeria goli moja,hakyanani watakula chakula Ikulu ya Dar na mama.
Hiyo haina ubishiIkitokea Tanzania ikampiga Algeria goli moja,hakyanani watakula chakula Ikulu ya Dar na mama.
Kibu akiwa kwenye fom ni mchezaji hatari sana sababu ya nguvu alizonazo.Nimejua kwanini kibu alimuweka sakho benchi
Algeria wangekuwa wanapambana kufuzu sasa hivi tungekuwa tunaongea lugha tofautiNimecheka sana!!Sijui kwanini Leo nimeangalia mpira huu.Stars huwa haina uwezo kabis
Wajikaze, wajikaze tupite.Zimebaki 4
Sema kuna siku bangi zinamvurugaKibu akiwa kwenye fom ni mchezaji hatari sana sababu ya nguvu alizonazo.