Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga 😂😂😂Izi zote ni jitihada ya serikali ya awamu ya sita nani kama mama😀😀😀
🚨🚨Breaking News
Taifa Stars yafuzu Afcon 2024
Izi zote ni jitihada ya serikali ya awamu ya sita nani kama mama[emoji3][emoji3][emoji3]
Sana aisee.Hongera stars ingawa mpira ulikuwa mbaya
Posezesheni kwenye mpira si lazima iwe ni shambulizi.Posesheni 19.6% TZ...
Duh hii Kali...
Tukipata hata sare moja tu kwenye hayo mashindano, basi kwa upande wetu itakuwa ni ushindi tosha sana.Tumefuzu ila tunaenda kutia AIBU huko Ivory Coast
hakuna mchezaji pale, nafasi 100 anapata 1Mliwaponda Lakini Sasa mtawasifia.
Edo Kumwembe alisema kweli kuhusu Kibu kuwa ni mchezaji Bora asiyeheshimiwa na watanzania!!