Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapigiwa mpira mkubwa wa kibingwa.Daaa hii ni ufaransa au kunakorogwaa..
Tuko hapa tumelowa [emoji23][emoji23][emoji23]Waliobeti ufaransa mko wapi?
🤣🤣🤣🤣Tuko hapa tumelowa [emoji23][emoji23][emoji23]
😁😆😄😅😃Kimeumanaufaransa anatia aibu Dunia
Morocco wenyewe waliwapigia mpira mwingi Sana , wataongezwa lingineUfaransa labda washinde njaa, kombe linaenda Argentina.
Go go MessiiiGo go Argentinaa
LAPULGAKing LEO
Mchezaji bora kuwahi kutokea dunianiGo go Messiii
Wewe mpuzi acha kutuchafuria mazingiraArgentina akibeba kombe nahara hapa na kimara
Usinambie messi ameenda na nyau uwanjani kama simba?😉Daaa hii ni ufaransa au kunakorogwaa..
Finali ilikuwa Kati ya Argentina na Netherlands mpira ulikuwa mwingi SanaFinal nzuri ni wapige matuta, hii inaisha kizembe tu dk 90 imeisha hiyo, fina gani imekosa amsha amsha ishiiiiiy
Oyooo,nice name,cute face and good performance😉LIONEL MESSI LA PULGA MWAMBA MNYAMA MTU HATARI SIMBA 💛💛💛💛💛