Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pemesi.Tayari moja uko, wale wenye shida za upigaji penati Messi anatowa darasa la bure la upigaji penati kwenye fainali hizi.
🔨🔨🔨Argentina akibeba kombe nahara hapa na kimara
Nilikwambwambia nn kuhusu mbapee muuu na unaonaa nn??Mpira ndvyo ulivyo mwanaa. Kwan ht kikitokea chcht ww unatasekaa ingali unapambana na hali ykoo
Nilikuambia nn kuhusu mbapee mkuuuRefa kaona aibu kwenda kwenye VAR ingemuumbua
Sina usemiMuda mudaa acha uongee mbapee asipeweka npooo hapaa nimekaaa mkuu ila hata mess akichukua ubingwaa haki anastahihili mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu mbappe apewe yote nlikua nimelowa chapa chapa dah!Mpira sio wa kuamini ni kama mapenzi saa yeyote unaachwa
Staki kuona messi akilia dk za mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu mbappe apewe yote nlikua nimelowa chapa chapa dah!