FT: Argentina 3-3 (4-2 Penalties) France - World Cup Final - December 18, 2022

FT: Argentina 3-3 (4-2 Penalties) France - World Cup Final - December 18, 2022

Huu ndo mpira wa wanaume sasa wameonesha kiwango cha juu team zote big up Argentina 🇦🇷 the big boss fifa 2022, big up France 🇫🇷

Dah hii final ilikuwa na watoto wazuri sio Argentina sio france, watoto hawana mbambamba miili iko fiti dah wanavutia kweriiiii kweriiiii.
 
Back
Top Bottom