FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

kweli hovyo ila zile za jana ni hovyoooo zaidi
Me nimesema fact na taste ya mechi wala sina ubaya na Yanga.

Mechi haina mvuto kabisaaa, nadhani na level za timu zote pia,haivutii kuangalia.

Na hivi hamna mashabiki ndo kabisaaa
 
fact hahahahahahahhaa

labda kama huu mchango ulikuwa kwa mechi za jana.
 
Me nimesema fact na taste ya mechi wala sina ubaya na Yanga.

Mechi haina mvuto kabisaaa, nadhani na level za timu zote pia,haivutii kuangalia.

Na hivi hamna mashabiki ndo kabisaaa
Mechi hii na ya jana ile ya Jana ilikuwa Mbovu kweli kweli.
 
Me nimesema fact na taste ya mechi wala sina ubaya na Yanga.

Mechi haina mvuto kabisaaa, nadhani na level za timu zote pia,haivutii kuangalia.

Na hivi hamna mashabiki ndo kabisaaa
Hii ni kweli, labda watabadilika muda unavyozidi kwenda.
 
Back
Top Bottom