FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Mikia tumewahi siti
971774828.jpg
 
Kila laheri team yangu ya utotoni BAMAKO
 
Haya uto mshinde kibonde wenu mazembe kapokea kichapo
 
Huko kunako Kongo Lugumbashi TP Mazembe wamepata kipigo cha goli 2 na watumis Monastir
 
Ila Haji Manara kweli Ni mastermind.

Aliwaaminisha makolo/Madunduka kua kwa mkapa hatoki mtu hata aje Barcelona au Real Madrid na Kweli wakaamini.

Akawaaminisha pia CAFCC ni kombe la ma losers na wao kweli wanaamini.

Kweli Haji ni full package.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani CAFCC washiriki kama Yanga walitokea wapi? Baada ya kushindwa Club bingwa unatupiwa shirikisho.
 
Back
Top Bottom