FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Uzi umeanzishwa kwa ajili ya timu mbili zinazo kwenda kucheza muda si mrefu ila naona kuna timu nyingine ya tatu ambayo haiuhusiki ndio wamejaa na dua zao na kupiga maombi kweli kweli. Daaah, wasije wakawa disappointed.

Wananchi wenyewe na timu yao naona wametulia tu, wala hawajibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niwafahamu mashabiki wenzangu wa Real Bamako
 
Kila la heri timu la kwanza kuanzishwa Nchini Tanzania na lenye makombe mengi ya kutosha.
Bila shaka unamaanisha mnyama simba, maana ndo wenye makombe mengi ya jumla [emoji41]
 
Bila shaka unamaanisha mnyama simba, maana ndo wenye makombe mengi ya jumla [emoji41]
Tafiti!!
IMG-20230225-WA0045.jpg
 
Babu yangu alikuwa AS real bamako shabiki wakutupwa baba naye akaipenda kwelikweli labda ni kwa sababu babu alipatapo kuishi Mali,ni mimi tu kichwa ngumu nikawa Mnyama.
leo acha niwaenzi kwa muda na mimi ni Real Bamako hakuna namna.
 
Baada ya mechi za kombe la wakubwa (CAFCL) hapo jana , leo ni mechi za kombe la watoto(CAFcc). Karibuni tukawashangilie wawakilishi wetu ktk kombe lao la watoto.
 
[emoji520][emoji520][emoji520][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169]yanga
 
Mbona wajitaabisha sana aisee wananchi hatuna shaka na ushindi wa leo.
 
Ikiwa Man U atatwaa ubingwa basi itakuwa furaha kuu kwangu ikiwa ubingwa huo utaendana na kipigo kwa Vyura Fc .

Bamako fanya jambo jumapili yangu iwe sawa .

Saa sita nitaenda kunywa pombe ili niwezw kuisikia sauti ya nafsi yangu juu ya hii mechi stay tuned nitakuja na matokeo ya leo .
Unaoliwazia furaha yako pekee na wakati nusu ya waTz ni wananchi[emoji617] nusu inayobaki ndio wanagawana hizo timu nyingine. Hamuishiwagi vituko nyie
 
Mtani tunza hii komenti nasikitika kukujuza kuwa bamako anakupiga leo .

Nafsi imenieleza hivyo sikutaka kuyasema haya ila nafsi inanisumbua .

Tukutane dakika 90 zikiisha japo matokeo ni hayo haina haja ya kujisumbua nafsi imesema hivyo
 
Unaoliwazia furaha yako pekee na wakati nusu ya waTz ni wananchi[emoji617] nusu inayobaki ndio wanagawana hizo timu nyingine. Hamuishiwagi vituko nyie
Sawa naelewa kuwa nusu ya nchi ni wananchi .

Ila sio mimi nafsi ishaamua kuwa Yanga ya watanzania leo haitoboi kwa wenzetu wa Mali .

Sio maoni wala maneno yangu ila nafsi yangu tu.
 
Ni zamu ya Mayele kutetema na Musonda kuonesha ubora wake wa kutupia. Tukutane uwanjani
 
Back
Top Bottom