Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Natabiri Mwamnyeto atasababisha goli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kuwa wanao shindwa kufuzu CAF champions wanakuja huko shirikisho? Kwa hiyo wana lose kule wanakuja kujoin na malosers.Ila Haji Manara kweli Ni mastermind.
Aliwaaminisha makolo/Madunduka kua kwa mkapa hatoki mtu hata aje Barcelona au Real Madrid na Kweli wakaamini.
Akawaaminisha pia CAFCC ni kombe la ma losers na wao kweli wanaamini.
Kweli Haji ni full package.
Sent using Jamii Forums mobile app
Channel 228 DSTVhamna channel ya dstv inaonesha hii mechi?
Hoja kama hizo tushajibu kwa muda mrefu mno..!
Siku zote wananchi hatuna mambo mengi.Uzi umeanzishwa kwa ajili ya timu mbili zinazo kwenda kucheza muda si mrefu ila naona kuna timu nyingine ya tatu ambayo haiuhusiki ndio wamejaa na dua zao na kupiga maombi kweli kweli. Daaah, wasije wakawa disappointed.
Wananchi wenyewe na timu yao naona wametulia tu, wala hawajibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma mwanzo wa uzihamna channel ya dstv inaonesha hii mechi?
Upo uwanjani?Jua ni kali uwanjani...