zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
yaani hizi ndo ishakuwa shida wanatupigia hapoWhy Caze na Nabi hawafundishi kuzuia corner na set pieces?why ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani hizi ndo ishakuwa shida wanatupigia hapoWhy Caze na Nabi hawafundishi kuzuia corner na set pieces?why ?
Hahaha haya namaliza ila ni 1-1
Huyu kama Okwi ni yeye au namfananisha🤣🤣 wazee wa kwa mkapa hatoki mtu
Ubao vipi huko[emoji2958][emoji2958]Kwahiyo ilibidi tulie?
😀😀😀😀😀😀😀Hahaha haya namaliza ila ni 1-1
daaatNdio vizuri mayanga yalikuwa yamesharidhika,mith imu ya Tzn Huwa ni upumbavu tuu.
Timu nzima anacheza kipa,Mayele na Dickson wengine wanaweka ruka..
Yaongezwe
Kuwaachia wadogo zangu haliwezi kuwa tatizo ..Usiongelee Al ahly, jiongelee wewe na team lako la makolo kwanza. Mechi sita za mwisho, kuna uliyofurukuta?
Haya hongera,maana tushapigwa kimojaMwenyewe.
daaa yanga kazembea kidogoFull Time
🫣🫣🫣Hivi pale ile taiti ya Kisinda imechanika au ndio mambo ya fasheni?
Sio kivile lakiniKwa kweli Bamako wameniangusha
EwaaaaReal Bamako wakifikia mpaka dakika ya 85' hawajasawazisha basi nitaamini kweli hamkusingiziwa kuitwa kikundi cha wahuni.
Umefanyaje huo ubao? Ulikaa ukadhani Yanga anapoteza? Pole.Ubao vipi huko[emoji2958][emoji2958]