FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Hii game ukiiangalia utagundua Yanga haina makocha, hii ilikuwa game ya kuchukua points zote.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wenye makocha ni kina nani hapo?
Screenshot_20230226-205750.jpg
 
Hawa loser kumbe mnawafuatilia?
Vipi, ulikuwa unaucheki huu mpira kwenye Big Screen ya Harrier pale Jangwani?

We ndio utakuwa umeona vizuri namna kile kichwa kimepigwa kuliko sisi wa small screen huku banda umiza

Hapa kuna mabishano wengine wakimlaumu Diarra kuwa kafanya uzembe, hebu tusimulie ni kweli kipa anastahili lawama kwa ile hearder?
 
Kuna mtu asiyetaka kuifuatilia Yanga? Tena wamelipia kabisa kwenye vibanda umiza wanangoja kwa hamu Yanga apoteze game, mwishowe wakaishia kushangilia draw maana haikuwa hali...
Ishu ni kuifatilia ukiwa na lengo gani

Tunapenda mnavyofungwa tuwe tunaona, hatutaki mambo ya kusimuliwa
 
Dah ....Ufupi Wa Mabeki Watajwa tena juu ya hii draw Ya Leo...!

Je Kuna Ukweli Ufupi Wa Mabeki unaigharimu Yanga..?
 
Mna haki ya kujipongeza kama mnafikri ni kebehi subirini marudiano Taifa, hongereni na mkumbuke TP kajeruhiwa na Mwarabu, mkienda kwake afe beki afe kipa mtapigwa

Mwarabu yule Taifa hamna ujanja naye, changeni karata zenu vizuri mapema.
Mmeanza ramli chonganishi
 
Nilikuambia kuna uwezekano mkubwa wa mimi kuja kuongea tofauti

Now umekiwa wewe wakwanza kuongea tofauti na kauli yako ya mwanzo
mkuu wewe utaongea nini kwa mpira huu zaidi ya kusema yanga tumestahiki point 3 ila uzembe

jamaa tumewakamata sio jana mtu kapata goli karudi nyuma, sisi tunakupiga na bado tunakukimbiza
 
Back
Top Bottom