FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Hakuna aliyefurahi Sisi kama WaTz..!

Kinachotusikitisha Zile Beki zetu Fupi Fupi zitaigharimu Timu Mpaka lini?

Hivi Robo fainali tutatoboa au hapa tulipo 'Makundi Shirikisho' tutaishia hapa hapa..?

Je tungekuwa CL ingekuwaje..? Tusijifanye hamnazo,Tutafakari wote!
 
Niwakumbushe tu Yanga ana point 4 na anashika nafasi ya pili kwenye kundi bila kusahau ana faida ya michezo miwili ya nyumbani.
Kupigana na mlevi mkatoshana nguvu ni tofauti na kupigwa na boxer mzuri.

UTOPOLO FC imepigana na kutoshana nguvu na walevi wa Mali.[emoji1787][emoji1787]

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Hakuna aliyefurahi Sisi kama WaTz..!

Kinachotusikitisha Zile Beki zetu Fupi Fupi zitaigharimu Timu Mpaka lini?

Hivi Robo fainali tutatoboa au hapa tulipo 'Makundi Shirikisho' tutaishia hapa hapa..?

Je tungekuwa CL ingekuwaje..? Tusijifanye hamnazo,Tutafakari wote!
Umeshamaliza kufanya maombi ya Horoya asimfunge Raja? Muda huu unaotumia kuandika haya ungejikita katika kufanya maombi ya timu yako ya Simba. Hasa kwenye mechi ya Horoya vs raja
 
Kwa wacha-mbuzi wenu uchwara hao ambao tuliwaziba mdomo katika mechi ya Club Africaine vs Yanga na Yanga vs Tp Mazembe
Huyo sio mchambuzi ni Uto lia lia pengine kuliko hata wewe

Halafu uskikariri kuwa yeyote anayeiongelea timu yako negative lazima awe mchambuzi au shabiki wa timu tofauti na yako
 
Lazima watajirekebisha, ikitokea wamefungwa na MONASTIR game ijayo kidogo utaleta unafuu kwetu, lkn mentality ya kutafuta sare imetuangusha, game ilikuw Nyepesi kabisa.
Kabisa, ilifaa mshinde hii game

Ni kama sisi tulivyozingua kule Guinea
 
Kuna mtu alikuomba uiombee ushindi? Yanga inashinda kwa uwezo wake uwanjani, na siyo kwa kuombewa na kiumbe kama wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaa angu hili povuuu vipiiiii?
Kwemaaaa??
 
Back
Top Bottom