FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

Water break....
 
Dakika 31 wachezaji wanarejea uwanjani baada ya waterbreak kupita
 
Hawa masheikh humo uwanjani wana fanya nini

Au nao wanahamu wamuone sakho?
 
Nelson kapama kazuia shambulio kwa kuutoa mpira mje ambao ulikuwa almanusra kotoko wafunge
 
Penatiiiii Simba inapata penati baada ya moses phiri kuangushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…