FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

Kipindi cha pili kinaanza, mabadiliko kadhaa kwa Asante Kotoko ya wachezaji yamefanyiko

Na Simba, Banda ameingia
 
Simba wanafanya mzaha sana, na hii kwakua ni mechi ambayo haina pressure na kiburi cha kuongoza
 
Hawana tofauti na Uto
Hawa asante na ihefu wanatofauti gani....?
Mkuu mechi ya kirafiki
Hii timu benchi la ufundi linakazi sana wachezaji wengi hawako serious kabisa na ndomana tukicheza na Yanga wanatufunga wanajua uchezaji wetu uliojaa mizaha mingi.

Hatuko compact kabisa timu inafikiwa golini kiwepesi sana ni vile tu jamaa hawako clinical kwenye goli
 
Back
Top Bottom