FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

sehemu za kuchezesha viungo wabunifu.. unawaweka wavunja kuni wote.

sehemu za wide.. kuweka wingers ;unaweka wachezaji viungo ambao hawana kasi na hawawezi kukimbizana na full backs.

goal kwa system hii ni ngumu sana kupatikana..
 
Naona leo Bwana yenu chama ameamka na siku mbovu!!. Ombeni Sanaa arudinkwe ye siku zake ndio mtashinda. Simba bila kuamka vzr kwa chma ni sawa na bureeeeeeee.

Benchka ni sawa na Matola Hana muujiza wowote 😅😅
Asec amefuzu
whydad amefuzu.
 
Sasa uandke vzr, una haraka gan kwan?
 
Hivi Vituko Vya Mbumbumbu FC Yani Mtu Anabaki Na Goal Ila Anaogopa Kufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…