FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Kanoute anakosa sifa nyingi za kuwa midfielder, kiungo si mnyumbulifu, hana jicho la pasi, hana maamuzi ya haraka.
 
Midfield ya SIMBA haifanyi transition ya haraka , lakini pia hakuna wings zinazokimbikia na kutanua uwanja...SARR, CHAMA, KONOUTE, NGOMA, SAIDOO ni kama wote ni viungo by nature...anabaki JOBE pekee kama standing striker
Wachezaji wawili wanahitajika ndani haraka, Kibu na Miqueson. Wa kutoa mmojawapo ni Saidoo sjui mwingine nani.
 
Kipindi Sisi Tunaacha Wazee Akina Ntiba Nyie Mlivyokurupuka Mkamkimbilia.

Haya Sasa Leo Anaonyesha Hasara Ya Wazee Akili Inakubali Mwili Unakaa
 
Acheni Wazee Saidoo Ni Maana Halisi Ya Kwanini Wazee Kwenye Mpira Tunawaacha
 
Back
Top Bottom