FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Namna gani pale kuna watu wanachezewa nusu uwanja wanabutua pale [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Chamaaa nae aache kucheza kwa madoidoo, hii match inataka mchaka mchaka mwa mwiii.

Hizo akili alizonazo, aongezee na nguvu kidg afanye jambo zurii.
 
Saido Ntibanzokiza nashauri atoke aingie Luis Micquisson

Timu haina mbinu ya kuingia lango la mpinzani.

Luis anaweza kupiga kutokea nje ya 18
 
Back
Top Bottom