ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mmetukumbusha wacha tukateLeo mida ya saa 4.00 usiku kutakuwa na mtanange kati ya timu yetu ya simba dhidi ya asec Mimosas.
Huku tulipo Mwanza maeneo ya Mahina, Mwananchi, huwa umeme unakatwa mida hiyo.
Tunawaomba sana Shirika letu la Tanesco kuwa kwa leo msikate umeme ili tushuhudie mtanange huo ambao ni muhimu sana kwa sisi wapenzi wa Klabu ya Simba.