Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Aisee, unamchukuliaje Asec? Naona umeichukulia kiwepesi mno mecbi ya Asec wakati ndo mechi ngumu kati ya mechi zote za Mnyama kwenye kundi lake.
Gem inayofata Jwaneng anakufa nyingi na Mnyama anapita kwa wastani wa magoli
Game si tumetazama wote mzee...
Ilikuwa open kabisa kwa Simba kushinda, isipokuwa timu imeahindwa kutengeneza nafasi na hata zilizopatikana chache wachezaji wamezipoteza...