FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Naomba maelezo hapa, head to head itahusika kivipi,usinichoke kwa maswala please
Sheria imebadilishwa,timu zenye points sawa kwenye makundi zinapolingana wataangalia hizo timu mbili head to head walipokutana nani alimfunga magoli mengi mwenzake.
Wydad vs Simba (Morocco ) ilikuwa 1-0
Simba vs Wydad (Dar ) 2-0.

Kwahiyo tukilingana point na Wdad hata mechi zijazo ashinde magoli 10 haisaidii head to head tumemzidi magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wydad anaweza akashinda mechi zote 2
Galaxy akapoteza 1, na kudraw 1
Simba akadraw 1

Yaani game ya leo Simba alipaswa ashinde ili kumtoa Wydad out of the equation...
Mpira hauwezi kuupangia matokeo ndo maana wakasema mpira unadunda, inawezekana Wydad akadraw kesho,
Msimamo ukawa
Asec point 11
Simba 6
Galaxy 5
Wydad 4

Mechi round ya mwisho Zikawa draw zote pia na Simba akapita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wydad apate sare na Jwaneng then nimtwange Jwaneng mbili kwa mkapa!!! Robo hii hapa
Wakipata sare Waydad na Jwaneng, Simba tutahitaji droo tu kufikisha point 7, Wydad akimfunga Asec anakuwa na 7. Head to Head Simba tupo sawa
 
Wydad anaweza akashinda mechi zote 2
Galaxy akapoteza 1, na kudraw 1
Simba akadraw 1

Yaani game ya leo Simba alipaswa ashinde ili kumtoa Wydad out of the equation...
Aisee, unamchukuliaje Asec? Naona umeichukulia kiwepesi mno mecbi ya Asec wakati ndo mechi ngumu kati ya mechi zote za Mnyama kwenye kundi lake.
Gem inayofata Jwaneng anakufa nyingi na Mnyama anapita kwa wastani wa magoli
 
Yaani waliosajiliwa nimechekaa,Simba uhuni tupu.Streka hata shot on target 0
Utapolo katika ubora wake! Hii ni michuano ya Kimataifa mzee siyo mdondo zenu za NBCPL mnazohonga marefa na viongozi wa team. Kesho ndo mtajua kwanini Mnyama anaheshimika huko Duniani, Safari yenu inaishia kwa Mkapa.
 
Bila ta draw. Simba anahitaji ushindi kwa lazima game ya kwa mkapa.

Maana galaxy ana 4 points na simba ana 6 points
Mkuu sasa hapo huelewi nini?wdad na galaxy wakitoka draw galaxy point 5, na Wydad point 4

Mechi inayofuata Simba anahitaji tu draw na galaxy maana atafikisha point 7,galaxy point 6 na Wydad akimfunga Asec anakuwa point 7 pia, na head to head simba imemzidi magoli Wydad, hapo Simba anafuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wydad apate sare na Jwaneng then nimtwange Jwaneng mbili kwa mkapa!!! Robo hii hapa
Wydad hata akishinda.Kwani kwenye Champions League wanaangalia head to head.Simba ni lazima ashinde game yake ya mwisho ndio ataingia robo fainali.
 
Wydad hata akishinda.Kwani kwenye Champions League wanaangalia head to head.Simba ni lazima ashinde game yake ya mwisho ndio ataingia robo fainali.
Timu mbili zikilingana points kati yao wataangalia head to head walipokutana,aliyemfunga mwenzake magoli mengi anapita,wydad katufunga kwao goli 1 tumemfunga kwa Mkapa goli 2 ,tunaendelea mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani waliosajiliwa nimechekaa,Simba uhuni tupu.Streka hata shot on target 0
Ukiwa Utopox huwezi kuielewa soka maisha yako yote. Kuvuna point moja mbele ya Asec ugenini ni faida kubwa mno kwa Mnyama na hiyo inatosha kuonesha ukubwa na ubora wa mnyama kwenye michuano ya kimataifa.
Tunasubiri aibu ya leo kwa Mkapa.
 
Back
Top Bottom