FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Simba inaongozwa na wanasiasa.
Hata wakienda mpirani hawajui kinachoendelea pale uwanjani.

Na hao ndiyo wanao amua nani asajiliwe na nani aachwe.
unaongozwa na hisia au umesikia wengine wanasema ukakariri? Simba ipi bora iliwahi mfunga Asec kwake?
 
Labda akishinda Galaxy ila kama ni Wydad hata ashinde magoli matano hayawezi kumfanya awe wa pili.

Wydad anaweza akashinda mechi zote 2
Galaxy akapoteza 1, na kudraw 1
Simba akadraw 1

Yaani game ya leo Simba alipaswa ashinde ili kumtoa Wydad out of the equation...
 
Ila ndugu zangu pamoja na kucheza vizuri ila ile aggressiveness mbele ya lango sijaiona kabisa na hiki kitu nahisi kinatokana na Chama kutocheza sehemu yake ya asili ,kumchezesha namba kumi na moja kocha anakosea.

Ila Saido sijui makocha anawapa nini msimu huu,kwani hastahili kuanza wala kumaliza dk zote.
 
Back
Top Bottom