FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Hii mechi kama Simba ingecheza kwa presha kidogo na Benchikha angekuwa makini kwenye sub, Simba ingetoboa ila hii Simba ni mbovu Sana.
 
Simba kashajitia dole...

Game ya Galaxy na Wydad inatoa mshindi wa pili...
Bado kibarua kigumu, maan atazidiwa point 1 na jwaneng, na hapo watakutana Kwa mkapa.

Na akishinda wydad watakua na point sawa.

Afu kuna match za mwsho ndo zitaamua nan asepee robo.
 
Hii inamaanisha ni lazima Mnyama ashinde Lupaso Galaxy kupasuka siyo ombi ni lazima..
 
Back
Top Bottom