Aisee, unamchukuliaje Asec? Naona umeichukulia kiwepesi mno mecbi ya Asec wakati ndo mechi ngumu kati ya mechi zote za Mnyama kwenye kundi lake.
Gem inayofata Jwaneng anakufa nyingi na Mnyama anapita kwa wastani wa magoli
Mpira hauwezi kuupangia matokeo ndo maana wakasema mpira unadunda, inawezekana Wydad akadraw kesho,
Msimamo ukawa
Asec point 11
Simba 6
Galaxy 5
Wydad 4
Mechi round ya mwisho Zikawa draw zote pia na Simba akapita
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nimesema match za mwsho ndo zitaamua nani anaenda, na nani anafurushwaa.
Kat ya hawa watatu, yeyote ataungana na Asec.
Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi
Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas
Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu
View attachment 2913767Mchezo umeanza
Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo
View attachment 2913778
Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo
Dakika ya 10 Asec 0-0 Simba
Dakika ya 20 Asec 0-0 Simba
Dakika ya 25 Asec 0-0 Simba
Dakika ya 30 Asec 0-0 Simba
Dakika ya 40 Asec 0-0 Simba
Dakika ya 45 Asec 0-0 Simba
HT: Asec 0-0 SimbaKipindi cha pili kimeanza Asec 0-0 Simba
Dakika ya 50 Asec 0-0 Simba
Dakika ya 60 Asec 0-0 Simba
Dakika ya 75 Asec 0-0 Simba
Dakika ya 80