FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Kounate kang'ang'ania penati kupiga kakosa. Ustaa mbaya sana

Amezingua sana. Sisi wengine tulikuwa tumejiandaa kwa 5 - 0! Sasa amesababisha mchezo uendelee, na wakati ulikuwa umeshakwisha tayari.
 
Second half simuoni wa kuleta hope zaidi ya Morrison, timu haijacheza kbs first half huyu Pablo sijui kama ni kocha kweli hovyo kabisa
Kocha ambaye alikuwa anaenda na kubadilika hasiti kufanya Sub ni yule aliyesepa kabla ya huyu Pablo kuja yule jamaa hanaga masihara kwenye Sub
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…