Mashabiki Wa timu ,zote wapo hivyo.Mashabiki Wasimba ni mabingwa kwa unafiki,hamna msimamo wa kile mnachokiongea mnakuwa kama homa za vipindi. Siku mkishinda match mnasifia timu yenu kuanzia kocha mpaka Wachezaji wote ikitokea mkifungwa mnabadilika mnasema timu yote mbovu na kocha hafai.
Sawa mwakani anakuja Jamhuri kiwhelo almaarufu Julio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kocha PABLO sio kocha wa kirudinae msimu ujao .
Umefurahiii mwenyeweSawa mwakani anakuja Jamhuri kiwhelo almaarufu Julio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga hatupo hivyo,kipindi kile tulikuwa tunasema ukweli hatuna timu.Mashabiki Wa timu ,zote wapo hivyo.
Kuwa na subiraSisi tunafuga
Nyie mjiandae kulima maana hamuendi quarter final
HongereniYanga hatupo hivyo,kipindi kile tulikuwa tunasema ukweli hatuna timu.
Nisifurahi vipi wakati ASEC anafanya usiku huu ukawe murua,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umefurahiii mwenyewe
Huyu Kibu si mlikuwa mnamfananisha na Mayele?Unajiuliza sababu ya kumpanga KIBU ni ipi???? Tangu mechi na Berkane na hii ya leo ni ipi???? KOCHA HAKUNA HAPA MKUU
Kibu ni Nchimbi aliesuka rasta.Unajiuliza sababu ya kumpanga KIBU ni ipi???? Tangu mechi na Berkane na hii ya leo ni ipi???? KOCHA HAKUNA HAPA MKUU
Kuna vitu vya kusubiri mkuuKuwa na subira
Mtambo wa kusababisha penaltyTaddeo Lwanga Anakata Miuno Apa [emoji1787]
Kwa akili yako Gendarmerie utamfunga hapa?Hujui kitu, ni heri Gendarmerie ashinde kuliko Berkane.