FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Upande wa kapombe panapitika
 
Duh mwaka wa mazali kwa waamuzi wachezeshao mechi za Simba
 
Huyu Inonga bado kuna watu hawamuamini? Hata kam atakuja kufanya makosa kwenye mechi yoyote ile sitakuja kubadili msimamo wangu.

Inonga ni beki makini.
 
game kama hii SSC wakipata nafasi inabid waitumie ipasavyo
 
Back
Top Bottom