SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Umekubali leo hamna unachoambulia, mkuu?Ile pointi moja tuliyoipata kwa USGN ndio itatupeleka robo fainali. Kilichobaki ni kushinda game ya mwisho kwa Mkapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekubali leo hamna unachoambulia, mkuu?Ile pointi moja tuliyoipata kwa USGN ndio itatupeleka robo fainali. Kilichobaki ni kushinda game ya mwisho kwa Mkapa.
Mpira ni magoli tuu....hayo mengine huja baadaeMpira wansocheza mpaka wanatufunga kiukweli hauridhishi kuhitimisha kuwa ni bora zaidi
Hili linanishangaza hata mimiSioni sababu ya kubaki nyuma ilihali hi ni game ya points na sio knock out.
Mzamiru anazurura tu hapo tu hapo kati, Kibu anatembeza tu matako humo uwanjani, Kagere nae ndo huyo.
Tusipokula za kizerchiefs hapa.
Iwe 2-2Bado mawili
Kweli,huwa hawabadiliki game zote za ugeniniUnpopular opinion:
Simba kwa aina hii wanavyocheza wakiwa ugenini, sioni kama atatoboa hata kama tutafuzu robo
Ila Simba wanashindwa kutumia huo udhaifu kwa faida yao.Berkane, Mimosa na USGN timu zote hizo zinatatizo la ulinzi
Iwe 4-0Iwe 2-2
Kwa hii mentality ya kujilinda ilhali hatuna watu wa counter attacks, nitaungana na wewe.Unpopular opinion:
Simba kwa aina hii wanavyocheza wakiwa ugenini, sioni kama atatoboa hata kama tutafuzu robo