FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Sioni sababu ya kubaki nyuma ilihali hi ni game ya points na sio knock out.

Mzamiru anazurura tu hapo tu hapo kati, Kibu anatembeza tu matako humo uwanjani, Kagere nae ndo huyo.

Tusipokula za kizerchiefs hapa.
Hili linanishangaza hata mimi
 
Hichi kikosi ukikiangalia hata huoni goal linafungwa na nani. Labda Sakho tu.
 
Faida ya Morrison anacheza pembeni ndiyo lakini anaingia ndani ya boksi ya mpinzani ni mzee wa kufosi kama sio penati basi atatafuta faulo anajiongezaga sana yule jamaa
 
Huyu kocha choko kweli hata kuongea akienda ugenini anaenda na kauli za uoga huyu kocha sifuri
 
Back
Top Bottom