FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Hii game ishaisha ndugu zanguni tuombe tu Berkane iishe saree. laaah group hali itakuwa tete.
 
Nadhani pia huyu kochaa anakosa phylosophy ya game za kiafrica

Unamuachaje Banda , Morison na Bocco nje

Kocha Out
Boko huyu huyu anaezidiwa magoli na Engineer Hersi Said?
FB_IMG_16477243142174704.jpg
 
Hivi vichezaji vya ASEC mbona vyepesi halafu vinanyumbulika mxieeeeeee vinataka kuliaibisha taifa la Tanzania

Hawajui huku mama katimiza mwaka mmoja,msimpe machungu bwana
 
Kocha kachanganyikiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom