FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Mechi ya mwisho nyau anacheza na nani?

Screenshot_20220320-203100_AiScore.jpg
 
Uongozi unacheza na mashabiki wakiona wanalalamika sana basi wachezaji watapewa motisha watacheza vzr mechi kadhaa watashinda mashabiki watatulia na mashabiki tumetifautiana kuna wale wenye mahaba yan hawataki baya waambiwe kwenye timu hata kama kuna shida kwa mimi SSC hata kama kipindi kile inashinda sikuwa na ile amani 100% kwa sababu hawajatibu tatizo SSC inahitaji maboresho makubwa sana kuna wachezaji wengi wanatakiwa wasepe pale hata kama wakicheza vzr mechi mbili tatu wanatakiwa watoke waje wapya wenye uwezo tuachane na haya mambo ya viongozi kucheza na akili za mashabiki kama kweli wanataka mafanikio kikosi lazima kifumuliwe
 
Wachezaji wa Simba wote mkirudi Kuna kazi ya kusambaza maziwa ya ng'ombe Dar es salaam nzima,

Hadi mikoani tunatuma.

Msijisahaulishe hamjui Kama Five stars striker Mayele anafuga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kapombe mzuri ila kwangu Israh Mwenda atakuwa mzuri zaidi. Kapombe hana mbio na sijui kama anatumia miguu yote vizuri kama Mwenda.
 
Na CAF wasipokuwa makini kuna matokeo yatapangwa kupitia marefarii

Ohooo!!! Umetukumbusha jambo muhimu sana. Ngoja niwajulishe jamaa zangu wa Takukuru. Hatutaki kabisa kuona maamuzi yenye utata kwenye mechi za mwisho.
 
Back
Top Bottom