FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

haya matokeo kwa ihefu bado si kipimo kabisa kwa simba naona inakwenda kuuwa uwezo wa timu
Kwani nani alikwambia Simba wanacheza mechi hii kama ya kujipima? Wako wawili tu 😁
 
Walifanya promosheni kubwa na mashabiki wakajua hapa ushindi ni kuanzia bao 3

Saizi tena kwa Rivers United wamekuja na ajenda ile ile ya kisasi
Ngoja tuwasubiri tuone maana watakuwa wamesahau walipigwa nje ndani na hao RIVERS🤣🤣
 
Mazoezi ya kukabili waidadi kasabulanka yule bingwa mtetezi wa kikombe cha timu bingwa Wa mabingwa Afirika yote.
 
Kuna timu tarehe 16 mwezi huuhuuu itacheza ikikumbuka ya Horoya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…