Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Bwana Teko hayo ni mahaba ndindindi hahahaBaleke ananikumbusha Allan Shearer enzi anacheza pale Newcastle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana Teko hayo ni mahaba ndindindi hahahaBaleke ananikumbusha Allan Shearer enzi anacheza pale Newcastle
😝😝😝😝😝😝Goli limeingia kabla uzi haujaanzishwa
Kwani nani alikwambia Simba wanacheza mechi hii kama ya kujipima? Wako wawili tu 😁haya matokeo kwa ihefu bado si kipimo kabisa kwa simba naona inakwenda kuuwa uwezo wa timu
Kocha anafanya majaribio ya mbinu zake.....Haya wapumzisheni Sasa Wakina Chama, Saidoo, Mzamiru muwape nafasi na wengine kucheza, Sio kila mechi, kila mashindano wachezaji walewale
Ngoja tuwasubiri tuone maana watakuwa wamesahau walipigwa nje ndani na hao RIVERS🤣🤣Walifanya promosheni kubwa na mashabiki wakajua hapa ushindi ni kuanzia bao 3
Saizi tena kwa Rivers United wamekuja na ajenda ile ile ya kisasi
Hamna timu ya kunifanya nihofie, ila statistics zinaonesha nyinyi ndio waogaApril 16, is just around the corner.
Msijekimbia uwanjani kama mlivyovunja viti
Kipindi cha pili mbili tu zinawatosha ili ubao usomeke 6 mnungi🤣🤣Watu wana hasira zao halafu mnajichanganya mnaweza kupigwa hata kumi!!
Pole mkuu,pata panadol mbili hapoGoli la offside upande wa simba linakubaliwa. Goli la aina hiyo hiyo upande wa Ihefu, linakataliwa!
Sku ile nyie pia mliuza?Ihefu imeuza mechi