FT: Azam FC 0-0 Simba SC | Aprili 5, 2026 | Safari ya kuikimbiza Yanga ni ngumu

FT: Azam FC 0-0 Simba SC | Aprili 5, 2026 | Safari ya kuikimbiza Yanga ni ngumu

Kila la kheri Azam.

Walambisheni koni hao kolos fc.
 
Half time ngumu kwa simba....
IBENGE ni fundi kuusoma mpinzani
 
Moja ya mechi SIMBA wamecheza fantastic licha ya goalless....

Tupate tu foward ambao hawasubiri 2;, 3 chances
 
Hata viongozi ni wehu, unajua kabisa unataka ubingwa, hauna washambuliaji wa kutosha bado unamsimamisha mchezaji muhimu bila kusikiliza kesi yake
Kocha pia kamkataa,maana aligomea mazoezi..Kwa kifupi Jamaa naye ni pasua kichwa.
 
Hatimaye makolo wadondosha alama 2 muhimu baada ya kushikwa bega na wana lambalamba fc kutoka mitaa ya Chamazi
 
Back
Top Bottom