rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Simba imewahi kuwa na wachezaji watukutu Dan Mhoja, Gagarino, Said Mwamba, Mafisango na Mkude kuwataja wachache lakini viongozi waliokuwepo walijua namna ya kuishi naoKocha pia kamkataa,maana aligomea mazoezi..Kwa kifupi Jamaa naye ni pasua kichwa.