FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Snapinsta.app_461291673_535664069045284_5224775669603427748_n_1080.jpg

Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC

Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex,
Snapinsta.app_461244406_1054123659439408_3646181618173531205_n_1080.jpg

Snapinsta.app_461012944_1668150677369694_7032159522946504121_n_1080.jpg

Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam 0 - 1 Simba
 
Kila la kheri Mnyama.

Mechi inatwangwa Saa ngapi? Wengine macho hayaoni vizuri kwenye bango.
 
Goli la Jana lilitokana na makosa ya kibinadamu. Kungekuwepo na VAR haya mambo yasingetokea.
 
chimba lazima mlambwe lolote liwakute!,mpigwe mpk meno yang'oke mrudi vibogoyo madunduka fc,nyau fc, kolozidadi fc,nyumbu fc mechi ya leo shetani ameamka nanyie na atalala nanyie.. 😂
 
Back
Top Bottom