Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Yes, Makolo yataanza kufa polepole saa 2 na nusu usiku wa leoKabiiiiiiiiiiiiisa mkuu.
Lolote BAYA liwakute koloz!
Hivi mechi ni saa Mbili unusu usiku??????
Cc Smart911
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, Makolo yataanza kufa polepole saa 2 na nusu usiku wa leoKabiiiiiiiiiiiiisa mkuu.
Lolote BAYA liwakute koloz!
Hivi mechi ni saa Mbili unusu usiku??????
Cc Smart911
Hapa tusiende mbali sana, Kila timuitafunga goli.Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC
Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex,
View attachment 3106819
Mimi Azam ikishinda wafanye kama ulivyonenaSimba bingwa
Simba ikifungwa nipigwe ban la milele
Azam anasulubishwa kuanzia saa 2 na Nusu usiku wa leo leo
Sawa Augustinyo😄Azam 2 simbwa 0
I believe it too. Nilishawaambia hakuna timu ya kuwafunga Simba msimu huu kwenye ligi.Kila la heri wakubwa..Simba mwaka wenu huu...
Naomba vikosi vya leo vya timu zote mbili.Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC
Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex,
View attachment 3106819