FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Kibu anapiga miayo?
1727371964819.png

Miayo inaambikiza najua hata wewe hapo lazima upige mwayo
 
La haula

Kibu anawakimbiza Azam hapa...kona ya kwanza .
Ngoma anapiga kichwa ..Foul kuelekea kwa Simba
 
Back
Top Bottom