FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Nassor Kibonge Saadun wing ya kushoto...anakimbia mpira unakuwa goal kick kuelekea kwa Azam
Dk 6
 
Simba wana press high hapa...Azam wanabutua.

Mpira bado haujatulia kwa pande zote mbili hapa

Dk 7
 
Ila Kocha wetu Fadlu ana mzuka balaa.
Vibe
 
Back
Top Bottom