FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

kwa sababu mechi imepelekwa hadi sa 2:30 usiku azam yatawakuta ya al-ahaly tripoli
Azam anataka kujiaminisha kuwa New Amani Complex ni uwanja wa nyumbani, hivyo atajitutumua sana, hivyo Simba wajitayarishe kisaikolojia lolote linaweza kutokea, hata hivyo rekodi zinampa ushindi Simba lakini patachimbika.
 
Back
Top Bottom