FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Kila la kheri Mnyama.

Mechi inatwangwa Saa ngapi? Wengine macho hayaoni vizuri kwenye bango.
 
Goli la Jana lilitokana na makosa ya kibinadamu. Kungekuwepo na VAR haya mambo yasingetokea.
 
chimba lazima mlambwe lolote liwakute!,mpigwe mpk meno yang'oke mrudi vibogoyo madunduka fc,nyau fc, kolozidadi fc,nyumbu fc mechi ya leo shetani ameamka nanyie na atalala nanyie.. πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…