kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Umesahau nadhani. mwaka jana aliwafunga pia hao AzamKumekucha
Mpaka ngoma anafunga Azam Hopeless
Mpira mwingi upi we kolo? Zaidi ya magoli ya offside kuna kipi kingine mnachocheza? Muda wote mpo nyuma ya mpira utadhani timu ndogoMwaka huu hatuwafungi tu...bali tunawapigia kwanza mpira mwingi kisha tunapiga bao nyingi kama za mwanamume aliyetoka jela
Nye Yanga kila mechi mnakamiwa tu,mtasema hivo hadi mwisho wa msimuAzam kombe la kwanza ni kukamia Yanga😅
yote yatapunguzwa mkikutana na mabingwa yangaTuwe na points za kutosha na magoli mengi pia
Ukimaliza hiyo period yako ndio utanielewa....sawa dadaMpira mwingi upi we kolo? Zaidi ya magoli ya offside kuna kipi kingine mnachocheza? Muda wote mpo nyuma ya mpira utadhani timu ndogo
huu ushabiki utaua watu, yaani povu lote hilo mkuu? 😀😀😀Goli la offside, aibu sana Ngoma yuko peke yake, ndo maana Simba ilikandwa 5-1 na Yanga .
Huyu Sasii hafai kuchezesha Derby.
Hiloooo....yote yatapunguzwa mkikutana na mabingwa yanga
Mimba ya atebaUtopolo wanaondoka kwenye bandaumiza huku wanaongea wenyewe na kutematema mate sijui shida ni nini
Wanawake siku hizi mnabeti sana
Ha ha ha ha haMimba ya ateba