FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Haiwezekani, CAF Wamuone mtu hadhi yake anatakiwa aanzie Preliminaries matches halafu Yeye ajifanye hadhi yake Sawa Sawa na Yule anayeanzia first round...!

Huyo Lazima bila Kupepesa Macho aelezwe Wewe ni Miongoni mwa Zile timu za Mpululo....!

Ikitokea umemfunga Wa first round ujue umebahatisha..!
Acha apigwe.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mwaka huu hatuwafungi tu...bali tunawapigia kwanza mpira mwingi kisha tunapiga bao nyingi kama za mwanamume aliyetoka jela
Mpira mwingi upi we kolo? Zaidi ya magoli ya offside kuna kipi kingine mnachocheza? Muda wote mpo nyuma ya mpira utadhani timu ndogo
 
Utopolo wanaondoka kwenye bandaumiza huku wanaongea wenyewe na kutematema mate sijui shida ni nini
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Goli la offside, aibu sana Ngoma yuko peke yake, ndo maana Simba ilikandwa 5-1 na Yanga .
Huyu Sasii hafai kuchezesha Derby.
huu ushabiki utaua watu, yaani povu lote hilo mkuu? 😀😀😀
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Yani mi uto imejaa jazba...😃😃😃
Haiamini macho yaoooo
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom