uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Angalia Ubaomkuu huna timu, unakimbizwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia Ubaomkuu huna timu, unakimbizwa tu
🤣😂🤣Mimi si mtoa mada, lakini kifo cha hawa makolo kinaanza saa 2 na nusu usiku wa leo
Ubaya Ubwela
hawa waliocheza na Kengold au kuna wengine?... machampioni Yanga kwenda kushiriki caf champions league mwakani
hao ilisha semwa na kiemba na dube mechi za nyau wana ambiwa wasikaze, wakaze za yanga tuAngalia Ubao
Tuwe na points za kutosha na magoli mengi piaYou are on the right track
Goli la offside, aibu sana Ngoma yuko peke yake, ndo maana Simba ilikandwa 5-1 na Yanga .Simba 2~0 Azam
Wale waliocheza na simbahawa waliocheza na Kengold au kuna wengine?
Bwege anamakosa ya kizembe zembe sana na hua ya hatari mnoChemalone kende zake atakujabkutuua huyu.
Hilooooo aibuuuuMimi si mtoa mada, lakini kifo cha hawa makolo kinaanza saa 2 na nusu usiku wa leo
Kibu anapiga kichwa ,ngoma alikuwa onsideGoli la offside, aibu sana Ngoma yuko peke yake, ndo maana Simba ilikandwa 5-1 na Yanga .
Huyu Sasii hafai kuchezesha Derby.