FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Chukua marudio ya picha ya video utaona, sio goli halali ni offside ya wazi na wachezaji wa Azam wamenyoosha mikono. Yanga wasikubali tena kuchezeshwa na Sasii ni kolo la wazi. Hafai kabisa.
Mpira ni mchezo wa wazi mtani
Kwanza Vipi lile la jana ni goli au sio goli
 
Ja

Jana na wewe ulichukua picha ya video kuona goli halali la Kengold?
 
Kwanza Vipi lile la jana ni goli au sio goli
Ya jana yamepita tuseme ya leo. Magoli ya offside ya Ateba na Ngoma yameinyonga Azam hii si haki ndo maana Simba iko kombe la kinamama!
Simba inatia aibu sana kubebwa kumezidi ladha ya boli hamna tena.
 
Back
Top Bottom